![]() |
Rais Jakaya Kikwete (kulia), akimuapisha Mwenyekiti mteule wa Tume ya Kamati ya Mabadiliko ya Katiba mpya Jaji Joseph Warioba, katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam |
Mjumbe wa kamati hiyo kutoka Zanzibar, Awadh Ali Said, akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete. Profesa Mwesiga Baregu akiapishwa na JK kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati hiyo
Rais Jakaya Kikwete (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali na wajumbe wa kamati hiyo baada ya kuwaapisha.
Baadhi ya wabunge waliohudhuria hafla hiyo. Kutoka kushoto ni Rahid Hamad Rashid, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo. Baadhi ya viongozi wa majeshi na usalama wakiwa katika hafla hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akijadliana jambo na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla hiyo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kulia) akiteta jambo na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid (CUF)wakati wa hafla hiyo. Picha zote na Mdau Mwaibale
Comments