TAMASHA LA PASAKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA LAZIDI KUPAMBA MOTO

 Mwimbaji wa muziki wa injili Upendo Nkone akiwaimbisha washabiki wa muziki wa injili katika Tamasha la muziki la Pasaka linaloendelea jioni hii kwenye uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma kumefurika mashabiki wengi katika uwanja huo na watu wanafurahi kwelikweli kama wanavyoonekana wakinyanyua mikono yao juujuu.

Jana Tamasha hilo lilifanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam huku waimbaji wakubwa kutoka Nje ya Tanzania na ndani ya nchi wakifanya mambo makubwa kwa mwenyezi mungu
 Mwimbaji wamuziki wa injili Upendo Nkone akicheza kwa mfuraha na mashabiki wake wakati akfanya vitu vyake kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
 Mashabiki wakiwa wameketi kwenye viti katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

 Mwimbaji Anastazia Mukabwa kutoka nchini Kenya akifanya mambo makubwa huku mashabiki wakifurahia burudani hiyo wakati akiwaambia wavue viatu.
 Mwimbaji Anastazia Mukabwa kutoka nchini Kenya naye akiimbisha mashabiki wake
 Kundi la Worriars Band likifanya vitu vyake jukwaani kama linavyoonekana katika picha.
Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama akifafanua jambo kwa MC wa Tamasha hilo MC Mwakipesile, katikati ni mratibu wa Tamasha Hudson Kamoga.(picha zote kwa hisani ya Full Shangwe blog)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

PICHA YA RAIS ILIYOBAMBA WIKI HII

MAAFISA JENERALI WASTAAFU 17 WA JWTZ WAAGWA.

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

JUA AINA NNE ZA KABILA LA WASUKUMA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

VIONGOZI BORA BARANI AFRIKA KWA SASA.