BREAKIIING NEWSSSS, MCHUNGA HATIMAYE AMEJIUZURU YANGA

MWENYEKITI wa klabu ya Yanga, Lloyd Nchunga (pichani), hatimaye amejiuzuru wadhifa huo.

Habari hizi ambazo bado hazijathibitishwa rasmi tumezipata hivi punde kutoka kwenye vyanzo vyetu vya habari.

Kujiuzuru kwakwe kunafuatia shinikizo kubwa kutoka kwa kamati ya wazee wa Yanga, ambao walifanya mkutano wiki iliyopita uliohudhuriwa na zaidi ya wanachama 700 ambao kwa kauli moja walimtaka Mchunga aachie ngazi.

Habari zaidi juu ya hilo tunaahidi kuwajulisha pende.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

PICHA YA RAIS ILIYOBAMBA WIKI HII

MAAFISA JENERALI WASTAAFU 17 WA JWTZ WAAGWA.

JUA AINA NNE ZA KABILA LA WASUKUMA

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

VIONGOZI BORA BARANI AFRIKA KWA SASA.