DK MAHANGA WA CCM AMGARAGAZA MPENDAZOE WA CHADEMA MAHAKAMANI

 Mbunge wa Segerea, Dar es Salaam, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga (katikati), akizungumza na vyombo vya habari, muda mfupi baada ya kupata ushindi wa kesi yake  leo katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam. Kesi hiyo ya kupinga matokeo ya ubunge wake ilifunguliwa na Fred Mpendazoe wa CHADEMA.
 Wafuasi wa CHADEMA wakiandamana Mtaa wa Azikiwe Dar es Salaam, kupinga ushindi wa Dk Mahanga katika kesi hiyo, wakidai hujuma imefanyika kuumpendelea.
 Wafuasi wa CHADEMA, wakionesha ishara ya chama hicho walipokuwa wakiandamana leo jijini Dar es Salaam.
                                                          Maandamano ya wanachadema
 Polisi wakilinda doria kuhakikisha wafuasi wa CCM waliokuwa wakiandamana kushangilia ushindi wa Dk. Mahanga na CHADEMA waliokuwa wakiandamana sambamba na wana CCM Mtaa wa Azikiwe  wasitwangane.
                                              Kwa wafuasi wa CCM ilikuwa ni furaha iliyoje 
                                         Wana CCM wakishangilia na kuwazomea CHADEMA
                              Mama mfuasi wa CCM, akionesha furaha yake ya ushindi wa kesi hiyo
Akina dada wafuasi wa CCM wakishangilia ushindi na kwazodoa wafuasi wa CHADEMA. (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR

IJUE HISTORIA YA MCHEZAJI MZUNGU WA TANZANIA