Mario Balotelli apinga ubaguzi wa rangi


Mario Balotelli nyota wa soka nchini Italia ambaye pia ni mchezaji mweusi wa Klabu ya Manchester City ya Uingereza amesema ataondoka uwanjani endapo atakejeliwa kutokana na rangi yake wakati wa mchuano wa kombe la Mataifa Ulaya katika nchi za Poland na Ukraine mwezi Juni.

Matamshi yake yanatokea kufuatia makala ya BBC ambayo yaliangazia ghasia katika viwanja vya soka kutokana na ubaguzi wa rangi katika nchi hizo mbili.
Makala hayo yalionyesha mashabiki wakizungu wakiwakejeli wachezaji weusi na kuwashambulia mashabiki wenye asilia tofauti na kizungu.

Wanasiasa na maafisa wa soka kutoka nchi hizo wamesema tatizo hilo limetiwa chumvi.
Kukejeliwa kwa ubaguzi wa rangi dhidi ya Balotelli nchini Italia mwaka 2009 kulifanya shirika la soka Ulaya UEFA kuweka sheria ya kuwalazimisha marefa kusimamisha mechi ikiwa kejeli za ubaguzi wa ran

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE

UBORA UNAONEKANA: BENKI YA NMB YANG'ARA TUZO ZA EUROMONEY 2026

MAJANI YA MAPERA NA MATUMIZI YAKE YA KITIBA

ZIJUE TIBA ZA MMEA WA MSHONA NGUO.

RAIS ALİYEISHI KAMA MUNGU WAKATI WATU WAKE WAKIFA NJAA