MBUNGE NASSARI AJISALIMISHA POLISI ARUSHA

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari(Chadema) akisalimiana na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Akili Mpwapwa leo katika makao makuu ya jeshi hilo mkoani hapa,alipojisalimisha baada ya kutakiwa kuripoti kituoni hapo
Wakili Albert Msando akizungumza na waandishi wa habari jana katika makao makuu ya Jeshi hilo mkoani Arusha akiwa na  Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Joshua Nassari(Chadema) alipojisalimisha
Polisi baada ya kutakiwa kujisalimisha

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR

IJUE HISTORIA YA MCHEZAJI MZUNGU WA TANZANIA