MKUTANO WA EPA JIJINI ARUSHA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara wa Tanzania  Dkt Shaaban Mwinjaka ( Wa nne kutoka kushoto waliokaa) akiwa na Wajumbe wa Mkutano wa Jumuia za kikanda za Afrika zinazojadiliana kuhusu ushirikiano wa kiuchumi kati ya jumuia hizi za Afrika na wenzao wa Ulaya kupitia mkataba wa Ubia wa Kiuchumi (EPA). Mkutano huu wa kwanza kwa mwaka huu, uliandaliwa na Tume ya Umoja wa Afrika kwa kushirikiana na Jumuia ya Afrika Mashariki na kufanyika mjini Arusha Tanzania mwishoni mwa wiki.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR

IJUE HISTORIA YA MCHEZAJI MZUNGU WA TANZANIA