NHIF YAWAPIGA MSASA WAHARIRI WASANIFU JUU YA UMUHIMU WA MFUKO HUO NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)

 Naibu Mkurugenzi wa Mkuu waMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Khimis Mdee akifungua mafunzo ya Wahariri Wasanifu wa Vyombo mbalimbali vya Habari nchini, kuhusu Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Dar es Salaam asubuhi hii. Kushoto ni Mkurugenzi wa Tathmini na Uhai wa Mfuko na Takwimu, Michael Mhando (kushoto) na Mwenyekiti wa Umoja wa Wahariri Wasanifu, Laudeni Mwambona.
Naibu Mkurugenzi wa Mkuu waMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Khimis Mdee (katikati mbele) na viongozi wengine wa mfuko huo, wakiwa katika picha ya pamoja na Wahariri Wasanifu.
 Mwenyekiti wa Umoja wa Wahariri Wasanifu, Laudeni Mwambona (kulia), akizungumza wakati wa mafunzo hayo.
Sehemu ya Wahari Wasanifu wakiwa katika mafunzo hayo.Kutoka kulia ni Noor Shija wa gazeti la Uhuru, Jane Mathias wa Nipashe na Boniface Luhanga wa Nipashe.
 Wahariri Wasanifu kutoka kushoto ni, John Stephen wa Mwananchi, Pius Ntiga wa Radio Uhuru na Grace Semfuko wa Star Tv.
Mkurugenzi wa Tathmini na Uhai wa Mfuko na Takwimu, Michael Mhando (kushoto) akimkaribisha Naibu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Khamis Mdee (katikati) kufungua mafunzo hayo. Kulia ni Laudeni Mwambona.
                                                        Baadhi ya maofisa wa NHIF,CHF
 Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Athuman Rehani (kulia) akiwa na Ofisa Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NHIF/CHF, Grace Michael.
 Mhariri wa Makala wa gazeti la Jambo Leo, Anicetus  Mwesa (kulia) na Godfrey Ismaely ambaye ni Mhariri Habari za mikoani  wa gazeti la Majira wakifuatilia kwa makini mafunzo hayo.
 Mwana vipindi vya afya wa Chanel Ten, Lina Denis (kushoto) akitoa shukrani kwa NHIF, kuandaa mafunzo hayo muhimu kwa wahariri wasanifu. Kutoka kulia ni Beda Msimbe wa Habari Leo na Martha Ngwira wa TBC.
 Viongozi wa NHIF wakielekea kupiga picha ya pamoja na Wahariri Wasanifu
Naibu Mkurugenzi wa Mkuu waMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Khimis Mdee (w pili kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Blogu ya Full Shangwe, John Bukuku wakati wa mafunzo hayo. Kulia ni Grace Michael ambaye ni Ofisa Uhusiano na Elimu kwa Umma.Wa pili kushoto ni John Stephen wa Mwananchi. (PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.