SHINDANO LA REDDS MISS CHANG'OMBE JUMAMOSI QUALITY CENTRE


 Warembo wanaotarajia kuwania taji la Redds Miss Chang'ombe kesho katika ukumbi wa Quality Centre, Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo kwenye mgahawa mpya wa City Sports & Lounge uliopo mkabala na sanamu ya Askari, katikati ya Jiji la Dar es Salaam.  (PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA)
 Mwandaaji wa shindano hilo, Tom Chilala (kulia) akizungumza kuhusu maandalizi ya kimbembe hicho. Kutoka kushoto ni Meneja wa kinywaji cha Redds kinachodhamini mashindano hayo, Vick Kimaro na Meneja wa Kampuni ya Nexusw Consulting Agency, Neema David.
                                                        warembo wakiwa kwenye pozi
Tom Chilala (wa pili kushoto) akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa mgahawa huo, Juma Pinto (kushoto) pamoja na Benny Kisaka ambaye ni Mkurugenzi wa mgahawa huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR

CONFIRMED HAWA NDIO WACHEZAJI WETU 12 WA KIGENI 🦾