TAMASHA LA WAJANJA WA VODACOM LAFANA COCO BEACH


001.Mmoja wa wakazi wa jijini Dares Salaam aliefika Coco-Beach kushuhudia uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”Linaloendeshwa na Vodacom Tanzania akipata huduma ya Vodacom Dstv,Tamasha hilo litafanyika  katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.

 Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi.Joseline Kamuhanda akiongea na waandishi wa habari waliofika kushuhudia uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”Coco Beach jijini Dares Salaam leo,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,Tamasha hilo litafanyika  katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure
 Umati wa wakazi wa Jiji la Dares Salaam waliojitokeza katika uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”Coco Beach jijini Dares Salaam leo,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,Tamasha hilo litafanyika  katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.
 Mtangazaji wa Clouds FM radio ya watu Hamis Mandi( B12)akiwapagawisha kimtindo wapenzi wa hip hop waliofika Coco beach katika tamasha la”WAJANJA”tamasha hilo linaendeshwa na Vodacom Tanzania, limezinduziwa rasmi Leo na litaendelea kufanyika  katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.
 Msanii wa kikundicha cha Pah- one akipagawisha wakazi wa jiji la Dares Salaam waliofika katika uzinduzi wa tamasha la”WAJANJA” tamasha hilo linaendeshwa na Vodacom Tanzania, limezinduziwa rasmi Leo na litaendelea kufanyika  katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kevin Twissa (kushoto)akiwa amepozi kwa picha na Mtangazaji wa Clouds FM,Hamis Mandi(B12)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

WALIOCHUKUA FOMU CCM ZA KUWANIA USPIKA HAWA HAPA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MATOKEO YA DARASA LA 7 YATANGAZWA

MJUE VIZURI KOCHA MPYA WA YANGA PEDRO

JESHI LA POLISI LATEKELEZA AGIZO LA RAIS SAMIA, LAONDOA KIZUIZI CHA KUTOTOKA NJE BAADA YA SAA 12 JIONI