Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya BiaTanzania (TBL), Kanda ya Kusini, James Bokela (wa
pili kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji waKampuni ya Massawe Glosery, Jacob Massawe (wa pili
kulia) ufunguo wa Bajaj yenye thamani ya sh. mil.4.7, baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa kanda hiyo kwa usambazaji na uuzaji wa bidhaa za TBL.Wanaoshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika
Kibaha, Pwani juzi, ni mke wa Massawe, AnnaMassawe na Meneja wa Huduma za Biashara wa TBL,Reginald Mosha.
| Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MassaweGlosery, Jacob Massawe (wa pili kulia) na mkewe Anna Massawe wakifurahia zawadi ya Bajajyenye thamani ya sh. mil. 4.7. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Massawe Glosery, Jacob Massawe na mkewe Anna Massawe, wakifurahia zawadi ya Bajaj yenye thamani ya sh. mil. 4.7, na wamiliki wa baa wilayani Kibaha.
| Wafanyakazi wa TBL, wakiangalia Ghala la kisasa la kuhifadhia bidhaa lililojengwa na kampuni ya Massawe Glosery eneo la Mwendapole, wilayani kibaha. |
| Wafanyakazi wa TBL, wakiwa ndani ya ghala hilo. |
Mkurugenzi wa Kampuni ya Massawe Glosery, Anna Massawe akiwa ofisini kwake akitumia kompyuta kuweka kumbukumbu safi za mauzo.
Baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla hiyo wakiwapata mlo, katika Baa ya Kilimanjaro Pub, Kibaha Pwani.
0077
Comments