Mazishi ya Kate Kerenge katika picha


 Baadhi ya waombolezaji wakibeba jeneza lililowekwa mwili wa merehemu Kati Kerenge kabla ya mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumamosi Julai 7 jijini humo. Marehemu Kati aliyekuwa Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Barclays alifariki Julai 1 jijini humo.
Mama mzazi wa marehemu Kati Kerenge, Professor Apollonia  Kerenge (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya waombolezaji katika misa ya mazishi iliyofanyika katika kanisa la Prebeterian la Mt. Columbus jijini Dar es Salaam Jumamosi Julai 7 jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania, Kihara  Maina akizungumza wakati wa misa.
Aliyekuwa  Mkuu wa Rasilimali Watu wa Tanga Cement ambaye marehemu alishawahi kufanya kazi, Bi. Jayne Nyimbo akizungumza. Kwa sasa Bi Jayne ni Mkuu wa Rasilimali watu wa kampuni ya Twiga Cement.
 Mama mzazi wa marehemu Kati Kerenge, Professor Apollonia Kerenge akitoa  heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu mwanawe.
Baadhi ya marafiki wa marehemu Kati Kerenge wakiweka mashada ya maua juu ya kaburi alilozikwa, Kinondoni, Dar es Salaam Jumamosi Julai 7 mwaka huu.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA