RAIS WA LIBERIA AWASILI NCHINI

 Rais wa Liberia, Ellen Sirleaf akikagua gwaride la heshima la kikosi cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), baada ya kuwasili leokwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tayari kuanza ziara ya siku nne nchini. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
                                                  Bendera ya Rais na Bendera ya Taifa ya Liberia zikipepea
                                               JK akiwa na mgeni wake, Rais wa Liberia
 Rais wa Liberia, Ellen Sirleaf (kushoto) na Rais Jakaya Kikwete wakiangalia ngoma ya asili   baada ya mgeni huyo kuwasili  kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tayari kuanza ziara ya siku nne nchini.
                                                     Ndege iliyomleta Ellen
                                               Ellen akishuka kwenye ndege Uwanja wa Ndege

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR

CONFIRMED HAWA NDIO WACHEZAJI WETU 12 WA KIGENI 🦾