YANGA YAONGOZA 1-0 DHIDI YA APR YA RWANDA

Ubao wa Uwanja wa Taifa, ukionesha Yanga ikiongoza kwa bao 1-0 dhidi ya APR ya Rwanda katika mashindano ya Kombe la Kagame Leo.
Mchezaji Mbuyu Twite wa APR ya Rwanda, akimtoka Said Bahanuz wa Yanga katika mpambano huo leo jioni.
Mashabiki wa Yanga wakishuhudia pambano hilo. Picha na Kamanda Mwaikenda

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MJUE VIZURI KOCHA MPYA WA YANGA PEDRO

RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA