GARDNER G.HABASH KUANZA KUSIKIKA REDIO TIMES FM

Mhariri Mkuu wa Redio Times Fm Scolastica Mazula wa pili kutoka kushoto akimtambulisha mtangazaji mpya wa redio hiyo Gardner G. Habash wa kwanza kushoto katika hafla maalum kwa waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Sports Lounge.Gardner atakuwa anasikika katika kipindi chaMaskani kitakachorushwa kuanzia saa 10 jioni hadi saa moja usiku.Kulia ni mtangazaji wa Mirindimo ya Pwani Khadija Shaibu 'Dida wa G' na anayemfuatia n i mhariri wa michezo Clifford Ndimbo.
Baadhi ya Majembe yanayopiga mzigo Times Fm 100.5
Hawa nao ni baadhi ya wafanyakazi wa Times Fm. Kwa hisani ya Dina Blog
Tukio muhimuu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA