TBL YAPATA TUZO YA MWANACHAMA MSHIRIKI WA TPSF

 Mwenyekiti wa Taasisi ya African Life Alliance, Dk. Ibrahim Kaduma (kulia), akimkabidhi Meneja Mawasiliano na Habari wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi , tuzo maalumu ya kuitambua TBL kuwa mwanachama mshiriki (Corparate Member) wa Taasisi ya Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania, katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam juzi.
 Editha Mushi (kulia)  akiwa miongoni mwa washiriki katika hafla hiyo iliyopfanyika Serena Hoteli na kuratibiwa na Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania.
Editha Mushi (wa nne kushoto mstari wa nyuma) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TPSF baada ya hafla hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

PICHA YA RAIS ILIYOBAMBA WIKI HII

JUA AINA NNE ZA KABILA LA WASUKUMA

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

VIONGOZI BORA BARANI AFRIKA KWA SASA.

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

ZIJUE SIFA ZA WANYAKYUSA WA KYELA NA RUNGWE