UZINDUZI WA BANCABC LIGI YA SUP8R

 Mkurugenzi Mtendaji wa BancABC, Bon Nyoni (kulia), akimkabidhi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani, kombe litakaloshindaniwa na timu 8 katika hafla ya uzinduzi Dar es Salaam jana. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Mkurugenzi wa Mashindano wa TFF, Saad Kawemba akielezea vigezo vilivyotumiaka kupata timu 8 zitakazoshiriki michuano hiyo
 Viongozi wa BancABC (kushoto) na  TFF wakiwa na Kombe litakalowaniwa na timu hizo
 Baadhi ya wageni waalikwa walishiriki katika uzinduzi huo uliofanyika katika Hoteli ya JB Bolmonte, Dar es Salaam
Baadhi ya wana habari walioshiriki kuripoti tukio hilo. Michuano hiyo inaanza leo katika vituo vya Dar es Salaam, Zanzibar, Arusha na Mwanza
                                              Ratiba ikionesha jinsi mambo yatakavyokuwa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

KATI YA WATOTO 7 WA HAYATI MAGUFULI ANAYEJULIKANA ZAIDI NI JESCA

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE

KIKOSI KILICHOITWA TAIFA STARS HIKI HAPA

UBORA UNAONEKANA: BENKI YA NMB YANG'ARA TUZO ZA EUROMONEY 2026

MAJANI YA MAPERA NA MATUMIZI YAKE YA KITIBA

WANAJESHI WAGOMA KWENDA IRAN KUPIGA

MCHIMBAJI MDOGO WA DHAHABU AFANYA MAKUBWA KWENYE HUDUMA ZA AFYA