WANACHAMA WA SIMBA WACHANGIA SH. MILIONI 36 KUANZA UJENZI WA UWANJA WA MICHEZO BOKO
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, akichangisha fedha kutoka kwa wanachama wa klabu hiyo wakati wa Mkutano Mkuu wa Wanachama uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Jumla ya sh. milioni 36 zilipatanika kwa ajili ya mtaji wa ujenzi wa Uwanja wa michezo huko Boko nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam.
Kocha wa Mkuu wa Simba, Milovan Cirkovi, akizungumza mbele ya wanachama wa Simba, wakati wa mkutano wa Klabu hiyo.
Comments