Afisa Mwandamizi wa
Mawasiliano kwa Umma wa SUMATRA, Maria Msellem, (kushoto) akitoa maelezo juu ya
namna ya matumizi sahihi ya kufuata sheria za barabara kwa watembea kwa miguu na
watumiaji wengine wa barabara kwa Mgeni rasmi katika ufungaji wa Wiki ya Nenda
kwa Usalama Kitaifa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma alipokuwa
anatembelea banda la Posili usalama barabarani jana katika uwanja wa Samora
mjini Iringa.
Mkuu wa Mkoa
wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya
Nenda kwa Usalama Mkoa wa Iringa, Salim Abri Asas mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa Samora mkoani Iringa kufunga maadhimisho hayo kitaifa.
Mkuu wa Mkoa
wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum CCM,
Iringa Ritha Motto Kabati(kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Samora
mkoani Iringa kufunga maadhimisho hayo kitaifa.
Mkuu wa Mkoa
wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akisalimiana na Meneja Mauzo wa Airtel,
Kanda ya Nyanda usini, Beda Kinunda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
Samora mkoani Iringa kufunga maadhimisho hayo kitaifa. Airtel ndio wadhamini wa
maadhimisho hayo kitaifa.
Mkuu wa Mkoa
wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akisalimiana na RPC wa Mkoa wa Mbeya, Diwani
Athuman mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Samora mkoani Iringa kufunga
maadhimisho hayo kitaifa.
Mkuu wa Mkoa
wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akipokea zawadi ya Airtel kutoka kwa Meneja
Mauzo wa Airtel, Kanda ya Nyanda usini, Beda Kinunda mara baada ya kutembelea
banda la Airtel ambao ndio wadhamini wa kuu wa wa wiki ya Nenda kwa Usalama
Kitaifa. Kulia ni Naibu Waziri Mambo ya Ndani, Pereira Silima.
Wabunge wa
Viti Maalum mkoa Iringa, Ritha Motto Kabati (kulia) na Ckiku Alfan Abwao
(kushoto) wakiwa katika viwanja vya Samora mjini Iringa hii leo katika ufungaji
wa Maadhimisho ya wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa.
Mwanafunzi wa
darasa la sita Shule ya Msingi Malangali Mkoani Iringa, Steven Mligo(kushoto)
akitoa maelezo juu ya namna ya matumizi sahihi ya kufuata sheria za barabara kwa
watembea kwa miguu na watumiaji wengine wa barabara kwa Mgeni rasmi katika
ufungaji wa Wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk.
Christine Ishengoma alipokuwa anatembelea banda la Posili usalama barabarani
jana katika uwanja wa Samora mjini Iringa.
Ofisa wa
Wizara ya Ujenzi, (kuli0 akitoa maelezo ya Wizra hiyo kwa Mgeni Rasmi, Mkuu wa
Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma alipotembelea banda hilo. Kushoto kabisa
ni Naibu Waziri wa Ujenzi Gerson Lwenge
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Barabara TANROAD
wakiwa katika banda lao
Mkurugenzi wa
Mipango wa TANROADS, Mhandisi, Jason Rwiza (kushoto) akitoa maelezo ya taasisi
hiyo kwa Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma
alipotembelea banda hilo. Kulia ni kabisa ni Naibu Waziri wa Ujenzi Gerson
Lwenge
Mneja wa Mkoa
wa Iringa wa Shirika la Bima la Taifa, (NIC) Ally Mohamed (kulia) akitoa maelezo
ya taasisi hiyo kwa Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma
alipotembelea banda hilo. Wengine ni Mbunge wa Viti Maalum Iringa, Ritha Kabati
(kushoto) na Kamanda wa Trafiki, Kamishna Msaidizi Mohamed Mpinga.
Afisa Mauzo
Msaidizi wa ASAS, Stanley Nyamle (kushoto) akitoa maelezo juu ya namna ya
matumizi sahihi ya kufuata sheria za barabara kwa watembea kwa miguu na
watumiaji wengine wa barabara kwa Mgeni rasmi katika ufungaji wa Wiki ya Nenda
kwa Usalama Kitaifa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma alipokuwa
anatembelea banda la Posili usalama barabarani jana katika uwanja wa Samora
mjini Iringa.
Wanafunzi
wakitumbuiza kwa nyimbo katika kilele hicho cha Wiki ya Nenmda kwa Usalama
Kitaifa mjini Iringa hii leo.
Wabunge wa
Viti Maalum mkoa Iringa, Ritha Motto Kabati (kulia) na Ckiku Alfan Abwao
(kushoto) wakifurahia jambo katika viwanja vya Samora mjini Iringa hii leo
katika ufungaji wa Maadhimisho ya wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa.
Wasanii wa
kundi la Mizengwe wakitoa burudani katika sherehe za ufungaji wa maadhimisho
hayo ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaofa Mkoa wa Iringa. Kulia ni Mkaguzi wa
Polisi, Abel Swai.
Mkuu wa Mkoa
wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa Makampuni ya
ASAS, Salim Abgri kwa mchango wake wa kufanikisha Maadhimisho hayo ya Wiki ya
Nebda kwa Usalama Kitaifa mkoani Iringa. Abri pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya
Nenda kwa Usalama Mkoa wa Iringa.
Mkuu wa Mkoa wa
Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa Redio One na
Capita Radio, Deogratius Rweiyunga kwa mchango wake wa kufanikisha Maadhimisho
hayo ya Wiki ya Nebda kwa Usalama Kitaifa mkoani Iringa.
Mkuu wa Mkoa wa
Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akimkabidhi cheti Mmwenyekiti wa Kamati ya
Nenda kwa Usalama Mkoa wa Geita, Willson Msuka kwa mchango wake wa kufanikisha
Maadhimisho hayo ya Wiki ya Nebda kwa Usalama Kitaifa mkoani
Iringa
Baadhi ya
madereva wa Pikipiki mkoani Iringa waliopatiwa mafunzo maalum ya uendeshaji
pikipiki na kufaulu wakila kiapo cha utii wa sheria za barabarani mbele ya Mgeni
rasmi.
Mkuu wa Mkoa
wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akifunga rasmi maadhimisho ya Wiki ya Nenda
kwa Usalama Kitaifa Mkoani Iringa leo.
--
Comments