MAHAFALI YA SHULE YA MSINGI MZINGA YAFANA

 Wanafunzi waliomaliza darasa la saba katika shule ya Msingi Mzinga, Dar es Salaam,wakitumbuiza kwa kwaya wakati wa mahafali yao jana.
 Mwalimu Mkuu wa Shule ya Mzinga, Cassian Shauritanga akihutubia wakati wa mahafali hayo ya darasa la saba
                                 Baadhi ya wazazi na wageni waalikwa wakiwa katika mahafali hayo
    Wanafunzi waliomaliza darasa la saba wakifanya igizo ikiwa ni moja ya vionjo vya mahafali hayo
                                            Mwanafunzi Hassan Maulidi na Rukia Omar wakiigiza
                                               Brass Band ya Shule hiyo ikitumbuiza
                                                        Kwaya ikiingia kutumbiza
        Baadhi ya walimu wa shule hiyo wakisikiliza kwa makini hotuba. PICHA NA KHAMIS MUSSA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DKT. MIGIRO AKIWASHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MAKAMBAKO

MBINU ZITAKAZOKUFANYA USIISHIWE PESA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM