MAMA DIAMOND ANAUMWA SANA ,AKIMBIZWA HOSPITALI ,DIAMOND AANZA KULIA


Nampenda sana Mama yangu na katika hali nisiyopenda kumuona nayo ni akiwa analia,
nami sikuwa na jinsi nilishindwa kujizuia...


Dallas akiwa na Mama katika hali ya huzuni....

Wakati mwingine tatizo linapokupata,Fikra na mawazo huwaza mbali sana.
Lakini hakuna jinsi yote ni mipango ya Mwenyezi Mungu namkabidhi yeye...
Licha ya kuwa tayari alikuwa ameshapata huduma na kuchomwa sindano,
lakini bado aliendelea kutapika....na hapa yupo na Uncle Salum aliyemsindikiza...






Akiwa hoi baada ya kumaliza kutapika....

Kiukweli mama alianza kulalamika kuumwa na alitumia dawa na baadae
alipata nafuu. Lakini leo hali ilijirudia tena,sikuwa nyumbani nilitoka katika mizunguko ya
kila siku ya kutafuta riziki ila niliporudi nyumbani nilimkuta hali yake sio nzuri.
Ikanibidi nichukue jukumu la kumpeleka Hospital ya MARIE STOPES kwaajiri ya matibabu. Chanzo; Francis Godwin Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MAPACHA WATATU FAMILIA YA MWAIKENDA WAPATA KIPAIMARA

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR