SIMBA, YANGA HAKUNA MBABE

 Ubao ukionesha jinsi watani wa wajadi Simba na Yanga walivyotoka droo leo katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
                                         Kikosi cha Simba kilichopambana na Yanga
                                               Kikosi cha Yanga kilichocheza na Simba
                        Shabiki wa Simba akiwa amejichora kifuani kwamba Mrisho angeifunga Yanga mabao matatu
                                          Mashabiki wa Simba  wakishangilia
Wachezaji wa Simba wakinshagilia bao alilofunga Amri Kiemba dhidi ya watani wao wa jadi Yanga
                                          Moja ya mabango ya kuidhihaki Yanga


                     Yanga wakishangilia bao la kusawazisha dhidi ya Simba. Bao Hilo lilifungwa na Bahanuzi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA

WAGOMBEA WALIOENGULIWA CCM LICHA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE....