𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗠𝗘𝗪𝗔𝗝𝗘𝗡𝗚𝗘𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗪𝗔𝗞𝗘 𝗠𝗢𝗬𝗢 𝗪𝗔 𝗨𝗝𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗝𝗜𝗔𝗠𝗜𝗡𝗜 𝘼𝙢𝙚𝙚𝙡𝙚𝙯𝙖 𝙆𝙖𝙩𝙞𝙗𝙪 𝙈𝙠𝙪𝙪 𝙢𝙨𝙩𝙖𝙖𝙛𝙪 𝙬𝙖 𝘾𝘾𝙈, 𝘿𝙠𝙩. 𝘽𝙖𝙨𝙝𝙞𝙧𝙪 𝘼𝙡𝙡𝙮 "Kwa muda mrefu katika historia ya siasa Duniani kote, nafasi ya mwanamke imekuwa nafasi ya pili kanakwamba utu wake ni nusu..duniani kote ajenda ya kuweka usawa kwa wanaume na wanawake imekuwa mfupa mgumu.." "..CCM kwasababu ya msimamo wetu wa kifalsafa na kiitikadi, usawa wa wanaume na wanawake si suala la hiari ni saula la lazima.." "..katika uongozi wako Rais Dkt. Samia...kitakwimu katika kipindi ulichoingia kama Mkuu wa nchi na Mwenyekiti wa chama (CCM) , kitakwimu angalieni maamuzi, sera, miradi na namna utekelezaji wake ulivyoinua hali za akina Mama.." Dkt. Bashiru ameyasema hayo leo tarehe 9 Septemba 2025 wakati akizungumza na maelfu ya Wananchi wa Singida Mjini waliojitokeza katika uwanja wa Bombadia kumlaki na kumsikiliza Mgombea...
HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI
MBINU ZITAKAZOKUFANYA USIISHIWE PESA
*1. Usiweke Akiba Mwishoni Weka Mwanzoni* Watu wengi wanasubiri walipwe mishahara au kupata faida ndipo waanze “kuona kama kimebaki” ili waweke akiba. Hii ni kosa.. Weka akiba mara tu unapopokea kipato (10%–20% ya mapato yako). *2.Usitumie Pesa Yote Jifunze Kuishi Chini ya Kipato* Ukiwa na kipato cha 1M, usipange matumizi ya 1M. Panga matumizi ya 700k–800k. Unapojilazimisha kuishi chini ya kipato chako, unajilinda dhidi ya dharura na kuacha nafasi ya kuwekeza. *3.Kuwa na Vyanzo Zaidi ya Kimoja cha Mapato* Hata ukiwa na kazi nzuri, biashara ndogo au uwekezaji mdogo ni ngao ya kifedha. Mfano: Mwalimu mwenye mshahara anaweza kuwa na shamba la nyanya au kuuza mtandaoni. *4.Epuka Madeni Mabaya* Kuna madeni mazuri (yanayokuongezea kipato, kama mkopo wa mashine ya biashara) na mabaya (kukopa kwenda kwenye sherehe au kununua simu ya anasa) Deni baya ndilo chanzo kikuu cha watu kuishiwa pesa kila wakati *5.Wekeza Badala ya Kuweka tu Akiba* Akiba inalinda lakin...
DKT. MIGIRO AKIWASHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MAKAMBAKO
Karibu Mkuu wa CCM, Dkt. Asha Rose Migiro akiungana na vijana wa CCM katika amsha amsha katika mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan mjini Makambo Njombe asubuhi hii ya Septemba 6, 2025. BAADA ya kumaliza Kampeni katika Mikoa wa Njombe,leo anaingia mkoani Iringa.
LEO NI LEO KAMPENI ZA DKT. SAMIA SONGWE
BAADA ya uzinduzi wa kampeni kwenye Uwanja wa Tanganyika Packers, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo Mgombea wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan anaingia kwa kishindo mkoa wa tatu wa Songwe akitokea Morogoro na Dodoma. Asubuhi hii kitimtim kitakuwa katika Mji wa mpakani na Zambia wa Tunduma na baadaye mchana kivumbi kitahamia katika makao makuu ya Wilaya ya Mbozi Vwawa. Akiwa katika mikutano hiyo, Dkt. Samia atajinadi kwa kuelezea mafanikio makubwa ya maendeleo aliyoufanyia mkoa huo mchanga au kitinda mimba lakini vilevile kutoa ahadi ya utekelezaji wa miradi mbalimbali. Pamoja na kuelezea kwa ndani Ilani ya uchaguzi ya chama hicho, Dkt. Samia ambaye mgombea wake mwenza ni Dkt. John Nchimbi, atatumia fursa hiyo kuwanadi wagombea ubunge na madiwani wa chama hicho. Baadhi ya miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na itakayotekelezwa katika mkoa huo ni kama ifutavyo; 1.Ujenzi wa barabara kuu ya Tanzam Kwa njia...
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, ...
WAGONBEA UBUNGE WALIOTEULIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM HAWA HAPA
🟩🟨⬛️ KOCHA MKUU wa klabu ya wiliete Benguela iliyoondoshwa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa na Young Africans, amefunguka mengi baada ya mchezo wa jana kumalizika. Kocha huyo amesema ubora wa kikosi chake huwezi kufananisha kabisa na kikosi cha Yanga kilichosheheni wachezaji wenye uwezo mkubwa. Anasema wachezaji wa Yanga ni wa daraja la juu (wanaoanza hata wale waliopo benchi), hivyo kwao ulikuwa ni mtihani mgumu kukabiliana na miamba hii ya soka la Tanzania. 🔰...Aidha, Kocha Bruno Ferry amemtaja Pacome Zouzoua kama mmoja wa wachezaji hatari sana waliopo kwenye kikosi cha Yanga SC. Amesema Pacome ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa wa kufanya lolote wakati wowote awapo uwanjani. Mwisho kabisa Kocha huyo aliyewahi kuinoa klabu ya Azam FC ameweka wazi kuwa anaiona Yanga ikifika mbali kwenye michuano hii ya Klabu Bingwa Afrika.
MTOKO MPYA WA YANGA HUU HAPA
KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimshukuru Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema katika Jimbo la Lindi Salum Khalfani Bar'wani mara baada ya kujiunga rasmi na CCM katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama hicho, mkoani Lindi tarehe 25 Septemba, 2025. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema katika Jimbo la Lindi Ndugu Salum Khalfani Bar'wani akizungumza na wananchi mara baada ya kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Lindi tarehe 25 Septemba, 2025.
Comments