DAR LIVE KIOTA CHA BURUDANI.

Watoto wakijiachia ndani ya Dar Live wakati wa sikukuu ya krismas, kabla ya Ndonga za mwaka kuanza kati ya mabondia Mbwana Matumla na David Charanga kutoka Kenya, bondia Mada Maugo na Yiga Juma wa Uganda na Bahati Mwafyela aliyechapana na Chupaki Chipindi. Baada ya ndondi hizo wakali Diamond Platinumz na Ommy Dimpoz wakashusha shoo bab kubwa ndani ya ukumbi huo.

Kutesa kwa zamu saivi zamu yetu jioni zamu yen

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA

RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA