KANISA LATEKETEZWA ZANZIBAR

Kanisa la Sharom Ministries lililopo Sheha ya Kihanga, Zanzibar, leo asubuhi limechomwa moto na watu wasiojulikana.

Watu hao ambao walishamiria kuchoma kanisa lote,Wameteketeza viti vyote vya kanisa hilo. Hakuna madhara zaidi.

Habari zaidi juu ya tukio hilo tunaahidi kuwaletea baadaye.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA