Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Bushiri, iliyopo Wilaya ya Pangani mkoani Tanga, Mpaji Said (20), akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya hiyo, akipatiwa matibabu baada ya kudaiwa kunywa sumu ya panya, kutokana na fedheha aliyoipata kwa kutofaulu mtihani wa taifa wa kidato cha nne.Picha na John Senmkande 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA