SERIKALI YAKABIDHI PIKIPIKI 16 JESHI LA POLISI RUVUMA

 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said  Mwambungu akijaribu kuwasha moja ya pikipiki 16 zilizotolewa  jana na  serikali kwa jeshi la polisi mkoani humo  ili ziweze kusaidia ulinzi katika ngazi ya tarafa,katikati kamanda wa polisi mkoani humo Deusdedit Nsimeki na kulia mstahiki meya wa manispaa ya Songea Charles Mhagama. (PICHA ZOTE NA MUHIDINI AMRI)



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 8 MWANAMKE HUFANYA KWA MWANAUME ANAYEMPENDA