TUKUMBUKE TULIKOTOKA

 Makomandoo wa Uingereza akiwadhibiti baadhi ya watu waliotuhumia katika maasi nchini Tanzania 1964.

Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere (katikati) akijiandaa kuondoka nchini kwenda Umoja wa Mataifa (UN) kudai Uhuru wa Tanganyika.
 Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere (kulia) akimlaki aliyekuwa Rais wa Malawi, Hayati Kamuzu Banda katika moja ya ziara zake hapa nchi.
 Fuvu la Chifu Mkwawa wa Wahehe
 Bendi ya shule moja wilayani Biharamulo 1957. Karibu wote hawana viatu.

 Darsa Chuo cha Mzumbe Morogoro enzi hizo
 Dar es Salaam enzi hizo huo ni Mtaa wa Sokine Drive sasa
Mmoja wa mitaa ya Jiji la Dar es Salaam enzi hizo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI