KAJALA AMUENZI WEMA KWA TATUU YA MGONGONI


Muigizaji wa filamu nchni, Kajala Masanja, ambaye hivi karibuni alinusurika kwenda jela baada ya kutolewa faini ya sh. mil.13 na msanii mwenzake, Wema Sepetu, ameamua kujichora tattoo yenye jina la mfadhili wake huyo mgongoni, Wema kama ishara ya kumshukuru.

Kajala amejichora tattoo hiyo upande wa kushoto mwa bega lake.

Baadhi ya wadau wa sanaa wamechangia juu ya kitendo hicho na kusema kuwa, wanahisi jambo zuri la kulipa fadhila angalau msanii huyo angekuwa na subira angalau hapo baadaye atakapojaaliwa kupata mtotot mwingine basi ampe jina hilo, ambapo angekuwa amejiwe mahala pazuri kwa wengi kumhofia baadaye kupatwa na ugonjwa wa ngozi kwa kujichora Tattoo hiyo.

"Hicho ni kitu cha muda tu, me naona Kajala angefikiria mbali zaidi kabla ya kuchukua maamuzi hayo, kwani yanaweza kumsababishia madhara makubwa hapo baadaye, tunajua analipa fadhila na kuonyesha heshima na shukrani lakini si kujichora tattoo ambazo si tamaduni zetu waafrika ama wabongona hasa ukiangalia issue yenyewe iliyokuwa ikimkabili mahakamani ilikuwa ni serious sana". alisema mmoja wa wadau

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

HATUNA TISHIO LA USALAMA MWANZA, HAKUNA WA KUJITANGAZIA JAMHURI YAO - RC MTANDA