KINANA, NAPE NA KHATIBU WAFANYA KWELI RUAHA, MORO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi alipowasili kwenye mkutano wa hadhara katikaKata ya Ruaha, katika ziara ya kikazi  mkoani Morogoro.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye na Katibu wa Oganaizesheni wa CCM, Mohamed Seif Khatibu wakiwasalimu wananchi baada ya kuwasili katika mkutano huo.
 Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano huo
 Wasanii wa kikundi cha Kidodi wakitumbuiza katika mkutano huo
 Wafuasi wa CCM wakisngailia wakati wa mkutano huo
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Kinana akihutubia ba na baadaye kujibu maswali ya wananchi
 Wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akihutubia
 Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Kilosa, Nassoro Uduleli (kushoto0 akijibu maswali ya wananchi. Kulia ni Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nnauye
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro, Innocent Kalogeris, akiamuru watu wote walioiba pampu ya maji katika eneo la Ruaha wamakatwe mara moja. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MAPACHA WATATU FAMILIA YA MWAIKENDA WAPATA KIPAIMARA

๐Œ๐‰๐”๐„ ๐Š๐€๐‚๐‡๐„๐‘๐Ž ๐Œ๐™๐„๐๐€

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

Wasifu wa Kizza Besigye

NAMNA YA KUTENGENEZA MAISHA YAKO KIMYA KIMYA