KINANA, NAPE WASHAMBULIA ULANGA LEO

 Mbunge wa Ulanga Magharibi, Dk. Haji Mponda (kulia) akijadiliana jambo na Katibu wa NEC-CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakati wa ziara ya kikazi ya kuimarisha chama Jimbo al ualnga Magharibi Leo.
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana akiwaongoza baadhi ya viongozi wa chama hicho kutoka kwenye pantoni ya Mv .Umoja kutoka Ifakara kwenda wilaya ya Ulanga kuimarisha uhai wa chama hicho .


Nape Nnauye akiingia kwenye mtumbwi jana eneo la Kivukoni Kata ya Minepa, wilayani Ulanga akiwa katika ziara ya uimarisha uhai chama hicho



 Nape akihutubia mkutano wa ndani wa chama hicho leo katika Kata ya Mtimbila, Ulanga Magharibi
 Kinana akivishwa skafu baada ya kupokelewa katika Kata ya Minepa alipowasili kuhamasisha uhai wa chama katika Jimbo la Ulanga Mashariki leo
Baadhi ya wafuasi wa CCM wakishangilia wakati Katibu

wa NEC-CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  akihutubia

mkutano wa ndani katika Kata ya Mtimbila, Jmbo la

Ulanga Magharibi
 Katibu wa NEC-CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  akiwaongoza baadhi ya viongozi wa chama hicho kutoka kwenye pantoni ya Mv .Umoja kutoka Ifakara kwenda wilaya ya Ulanga kuimarisha uhai wa chama hicho leo asubuhi.

 Kinana akizungumza na Mmasai mwanachama wa CCM katika Kata ya Minepa Ulanga leo


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA