TUZO ZA SAFARI LAGER ZATUA DAR

 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kulia)  akinyanyua juu kombe baada kulipokea  kutoka kwa Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo, ambalo lilitolewa baada ya bia hiyo kupata tuzo ya ubora kuliko bia zote Afrika mashindano yaliyofanyika Machi 3, mwaka huu nchini Ghana. Hafla hiyo ya kuwaonesha wananchi tuzo ilifanyika katika Soko la Mchikichini Dar es Salaam
 Mushi na Shelukindo wakiwa na tuzo za vikombe

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MAPACHA WATATU FAMILIA YA MWAIKENDA WAPATA KIPAIMARA

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

IJUE HISTORIA YA MCHEZAJI MZUNGU WA TANZANIA