TBL YASHINDA TUZO YA MAZINGIRA

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick akimkabidhi tuzo Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu baada ya kampuni hiyo kuibuka mshindi wa kwanza kwa kusaidia utunzaji wa mazingira,katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, yaliyofanyika kimkoa katika viwanja vya Zakheim, Mbagala, Dar es Salaam leo. Wanaoshuhudia ni Ofisa wa Afya na Usalama Kazini wa TBL, Ismail Kalema (wa pili kulia) na Meya wa Temeke wa Manispaa ya Temeke, Maabad Hoja.
 Mratibu wa Afya na Usalama Kazini wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Daud Lwila (katikati), akionesha tuzo ya cheti baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick kwa kuwa kampuni ya kwanza kusaidia utunzaji wa mazingira katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani,yaliyofanyika kimkoa katika viwanja vya Zakheim, Mbagala, Dar es Salaam
                                                Wafanyakazi wa TBL, wakiwa na tuzo hiyo
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick akiwa katika picha ya pamoja na taasisi zilizozopewa tuzo Mazingira. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu.
 Doris Malulu na ImailKalema wa TBL wakiwa pamoja na wananchi walishiriki kwenye maadhimisho hayo.
 Wasanii wa Bendi ya Mjomba, wakitumbuiza kwa sarakasi wakati wa maadhimisho hayo.
Mjomba Band ikitumbuiza katika maadhimisho hayo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.