MWILI WA MAMAKE UFOO SARO UKITOLEWA MUHIMBILI KWENDA KUAGWA KIBAMBA

 Jeneza lenye mwili wa mamake mzazi wa Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro, marehemu Anastazia Peter Saro likiwekwa kwenye gari leo katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam ukipelekwa kwake Kibamba kuagwa tayari kusafirishwa kwa maziko nyumbani kwao Arusha.Ufoo na mamake walipigwa risasi na mpenzi wake Ufoo kitendo ambacho kilisababisha mauti kwa mama huyo na ufoo kujeruhiwa tumbo. PICHA NA MDAU KHAMIS MUSSA





Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR

ASANTE GWIJI YAYA TOURE KWA KUPASUA UKWELI UKWELI KUPENDELEWA KWA MOROCCO

CONFIRMED HAWA NDIO WACHEZAJI WETU 12 WA KIGENI 🦾