BREAKING NEWSSSSSS .... PROF. BAREGU NAYE PIA AJIUZULU CHADEMA....MAJANGA HAYA CHADEMA!!!!Prof Mwesiga Baregu.

Habari zilizotufikia katika chumba chetu cha habari zinaeleza kuwa Mjumbe wa tume ya mabadiliko ya Katiba kutoka chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) ametoa kauli ya kujiondoa na kujiuzulu nafasi zake ndani ya Chama hicho kupelekea maamuzi yaliyofanywa na kikao cha kamati kuu ya chama hicho.


Huyu ni Mjumbe wa pili wa kamati kuu ya Chadema kuamua kujiuzulu wadhifa wake katika kipindi kisichozidi masaa 12. CHANZO http://hisiazamapenzi.blogspot.com

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

NMB YATOA MSAADA WA SH. MILI. 125 KUBORESHA MIUNDOMBINI KATIKA SHULE 15 ARUSHA

ASHUKURU MAFUNZO YA KILIMO JKT YAMEMLIPIA ADA CHUO KIKUU