KAMPENI ZA CCM ZALINDIMA KATA YA KALENGA LEO, MANGULA AENDESHA SOMO LA UPIGAJI KURA

Wafuasi wa CCM wakishangilia kwa furaha walipokuwa wakimlaki mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa (hayupo pichani) katika mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini jioni leo. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mfuasi wa CCM akiwa mbele ya polisi huku akionesha picha ya mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia chama hicho atika mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini
Mgimwa akiwa abebwa juu alipowasili katika mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Kalenga jioni leo
 Wafuasi wa CCM wakishangilia huku wakiwa na picha za mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa wakati wa mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Ipamba, Kata ya Kalenga, Iringa Vijijini
Ni furaha iliyoje katika mapokezi ya Mgimwa katika Kijiji cha Ipamba, Tosamaganga
 Msanii mahiri wa filamu na muziki, Ummy Wenslaus 'Dokii" akihamasisha wakati wa mkutano wa kampeni za CCM katika Kijiji cha Ipamba, Tosamaganga leo
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu akipokea kadi kutoka kwa mwanachama wa Chadema, Said Mbilinyi aliyeamua kuihama Chadema na kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni Kijiji cha Ipamba
Diwani wa Kata ya Kalenga, Ameria Galinoma akionesha ishara ya dole baada kufurahishwa na hotuba ya mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga, kupitia CCM, Godfrey Mgimwa
Sista aliyewahi mfundisha marehemu Dk. William Mgimwa darasa la tatu na nne katika Shule ya Wassa, Paula Msambwa akikukmbatia kwa  fura na mtoto wa Mgimwa, Godfrey Mgimwa ambaye anagombea ubunge Jimbo la Kalenga.
Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa, akisalimiana na Sista Paula Msambwa (73), aiyewahi mfundisha babake mrehemu Dk. William Mgimwa daras la tatu na nne katika Shule ya Wassa kati ya mwaka 1964-1965. Mgombea hu alikutana naye wakati wa kampeni katika Kijiji cha Tosamaganga, Kata ya Kalenga, Iringa Vijijini
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula akihutubia katika mkutano wa kampeni za CCM Jimbo la Kalenga  katika Kijiji cha Tosamaganga, ambapo alihimiza amani siku ya kupiga kura
Mapokeszi ya Mgimwa katika mkutano wa kampeni Kijiji cha Kalenga leo
Ni furaha kwa kwenda mbeleeeeeee
Diwani wa Kata ya Kalenga, Ameria Galinoma (kulia0 na Diwani wa Viti Maalumu wa Kata hiyo, ambaye pia ni Mwenyekiti wa UWT Wilya ya Iringa Vijijini, Shakila Kiwanga pamoja na wananchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni za CCM katika Kijiji cha Kalenga leo
Dokii akifanya vitu vyake katika mkutano wa kampeni za CCM Kaleenga mjini leo
Doria ikiwa imeimarishwa katika Jimbo la Uchaguzi la Kalenga
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula akionesha fomu ya mfano ya kupigia kura yenye picha za wagombea ubunge Jimbo la Kalenga wakati wa mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini jana.Uchaguzi utafanyika Jumapili Machi 16, mwaka huu.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA