MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BODI YA HUDUMA ZA MAKTABA TANZANIA, JIJINI DAR



 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa Moja ya kitabu cha kuhifadhi kumbukumbu chenye picha ya Baba wa Rais Jakaya Kikwete, Mrisho Kikwete, wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania, yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es Salaam
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa baadhi ya vitabu na Ofisa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Mture Educational Publishers Ltd, Bupe Mwasaga, wakati alipokuwa  akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania, yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es Salaam
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa na Mkutubi wa Jiji, Lusekelo Mwalugelo, Gazeti la Mambo Leo la Mwaka 1923 ambalo ni moja kati ya magazeti ya zamani, wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania, yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es Salaam
 Baadhi ya wanafunzi waliojitokeza kuhudhuria sherehe hizo wakiisomea vitabu, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho hayo.

 Baadhi ya wadau waliohudhuria sherehe hizo. 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtunukia cheti Mama Kaunga kwa kutambua mchango wa, wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania, yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es Salaam.

10:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua Katalogi ya Kieletriniki, wakati wa  sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania, yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Picha ya pamoja na Wadau waliotunukiwa vyeti.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

BREAKING: CAF YAIPOKONYA KENYA KUANDAA CHAN

BREAKING NEWSSSS. WABUNGE WAPATA AJALI

π—₯π—”π—§π—œπ—•π—” 𝗬𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗬𝗔 π—žπ—¨π—™π—¨π—‘π—šπ—” 𝗠π—ͺπ—”π—žπ—” 2024 πŸ”°

MONGELLA AWATEMBELEA HOSPITALI WALIOMWAGIWA TINDIKALI