PICHA NA VIDEO: NJOO TUCHEZE STYLE YA "YACHUMA CHUMA" NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE

 
Video mpya ya nyimbo ya Kariakoo ya Skylight Band...Enjoy.
DSC_0056
Aneth Kushaba AK47 (wa pili kushoto) akiongoza waimbaji wa Skylight Band kutoa burudani burudani kwa mashabiki wao kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0085
Skylight Band na staili yao ya “Yachuma chuma” kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0131
Mashabiki wa Skylight Band wakisebeneka ndani kiota Thai Village usikose burudani ya kipekee leo usiku kuanzia saa 9:30.
DSC_0239
Umati wa mashabiki wakishuhudia burudani ya Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA