SOMA TAARIFA KWA UMMA KUTOKA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA(TANAPA):WATALII MABILIONEA WA MAREKANI WAMALIZA ZIARA SERENGETI

Watalii Mabilionea 42 kutoka Marekani wamemaliza  ziara yao ya utalii ya siku nne katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kuelezea kufurahishwa kwao na uzuri wa hifadhi pamoja na maajabu ya wanyama mbalimbali wanaopatikana Serengeti ikiwemo msafara maarufu wa wanyama wahamao aina ya nyumbu.

Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu alipata fursa ya kuwaaga watalii hao walipokuwa wakiondoka nchini kuendelea na ziara ya utalii katika nchi nyingine za Afrika wakitumia ndege binafsi aina ya Boeing BBJ 737 HB-11Q inayomilikiwa na Kampuni ya Utalii ya Abercrombie  & Kent ya nchini Marekani.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA