Waandishi Wamjulia Hali Mwandishi Mwandamizi Pemba.


Waandishi wakiwasili Kijiji kwa Maangwi Kiongoni Shegejuu wilaya ya Wete , kulia Juma Mmanga , Mwarab Mmadi (StarsTV) 
                       Wandishi wakisalimiana na Shekh Masoud Sanani walipowasili Kijijini kwao

Shekh. Masoud Sanani akizungumza na waandishin waliofika kumtembelea kujua hali yake, wakati akipata matibabu, kijiji kwao Maangwi Kisongoni Shegejuu Wilaya ya Wete Pemba, aliyesimama ni Ndg. Juma Mmanga.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Soma Taarifa ya UTEUZI:Rais Jakaya Kikwete amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd)

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

VIONGOZI NA WATENDAJI WA MATAWI UVCCM PANGANI WANOLEWA

NMB YAWAUNGANISHA WANANCHI NA HUDUMA, FURSA ZANZIBAR

HIZI HAPA TAKWIMU ZA PETER SHALULILE MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC 🔰 🔥

KAMATI YA BUNGE PAC YABAINI MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA UMMA MZUMBE