BARUA YA FIFA ILIYOMPELEKA OKWI YANGA HII HAPA, JE INAWEZA KUMPELEKA SIMBA PIA?



HII ILIKUWA NI BARUA KUTOKA FIFA KWENDA TFF AMBAYO ILIKUWA INAENDELEA NAMNA AMBAVYO TFF INAVYOWEZA KULISHUGHULIKIA SUALA LA OKWI HUKU IKIELEZA ANAWEZA KUCHEZA YANGA KWA KUWA SUALA LAKE LA MADAI DHIDI YA ETOILE DU SAHEL NI TOFAUTI.
KUPITIA BARUA HII, TFF IKAMUIDHINISHA OKWI KUCHEZA YANGA WAKATI HUO SIMBA ILIKUWA IKIENDELEA KUIDAI ETOILE DOLA 300,000 ZA MAUZO. 
SWALI, FIFA INAWEZA KUINGILIA SUALA HILI KAMA YANGA ITASHITAKI NA JE, ITACHUKUA UAMUZU WA KUMUIDHINISHA OKWI ACHEZE SIMBA WAKATI ANAENDELEA KUDAIANA NA YANGA AMBAYO INAMDAI NA YEYE AMEELEZA KUWA ANAIDA?

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA

USAJILI ULIVYO HADI SASA....

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

MAMBO 7 MUHIMU YA KUYAEPUKA BAADA YA KUACHANA...

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE....

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

RAIS SAMIA AMUONDOLEA POLEPOLE HADHI YA UBALOZI