HABARI MPYA !!!!! POLISI YAWAWINDA MAJAMBAZI YENYE SILAHA NA KUWAKAMATA BAADA YA KUMPIGA MFANYABIASHARA RISASI KIFUANI NA KUMPORA FEDHA DAR ES SALAAM.


Ilikuwa ni katika jaribio la wizi ambapo majambazi hao walimpiga risasi ya kifua mtu mmoja kabla ya kumpora katika maeneo ya kiwanda cha Serengeti kilichopo Temeke jijini Dar es Salaam.Kabla ya kufanikiwa tukio hilo, majambazi hao walikurupushwa na Polisi na kukamatwa wakiwa na Bastola pamoja na risasi nne.
Baada ya kukamatwa majambazi hao wamepelekwa kituo cha Polisi Chang’ombe kilichopo temeke.

Chanzo: SHUHUDA .....Kwa taarifa kamili kutoka jeshi la Polisi itawajia hivi punde.:

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA