Rais Dk.Shein akutana na Marais mbali mbali

IMG_2647Wajumbe wa  Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa na Maafisa wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakifuatilia kwa makini michango inayotolewa katika mkutano huo unaoendelea huko Nchini Samoa katika ukumbi wa jengo mkutano huo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_2658Baadhi ya Waandishi wa habari kutoka nchi mbali mbali zilizoshiriki Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa  wakichukua taarifa zilizotolewa na michango kiatika mkutano huo unaoendelea katika jengo ya Ukumbi wa Apia nchini Samoa, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2875Waziri wa nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Bibi Fatma Fereji akiwa mwenyekiti katika sehemu moja ya Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaoendelea katika jengo ya Ukumbi wa Apia nchini Samoa,(kulia) Kaimu Sekretary (UN)  Bibi Erner Herity na (kushoto)Marrio Barthelemy  Mkurugenzi wa Uchumi na Mambo ya Kijamii,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_2915Wajumbe wa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa wakiwa katika ukumbi  wa jengo la Apia wakati michango mbali mbali ikitolea jana na Vingozi wa Nchi zilizoshiriki mkutano huo, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_2954Rais wa Serikali ya Visiwa vya Comoro Ikililou Dhoinine akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein   walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2958Rais wa Serikali ya Visiwa vya Comoro Ikililou Dhoinine akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein   walipokutana jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_2971Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais wa Seychels James Michel  walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*