MADANSA WA DIAMOND WAKAMATWA

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' , akitoa burudani katika tamasha la Serengeti Fiesta 2014, Leaders Club jijini Dar.
Madansa wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum wamekamatwa leo wapo kituo cha polisi cha Oyster Bay, Dar kwa kuvaa sare za JWTZ.
Wakati huohuo polisi  wakiendelea kumtafuta bosi wao Nasibu Abdul ' Diamond Platinumz kwa maelezo zaidi kutokana na kuvaa sare za Jeshi la Wananchi (JWTZ) katika tamasha la Serengeti Fiesta Leaders Club, Dar usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita, hawajampata.
Mwandishi wetu alimtafuta Meneja wa  Diamond aitwaye Babu Tale kwenye simu bila mafanikio.(HABARI NA MUSA MATEJA/GPL)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA