KINANA AMALIZA ZIARA TANDAHIMBA,AHIDI KUFANYA MKUTANO NA VIONGOZI WA MIKOA INAYOZALISHA ZAO LA KOROSHO NCHINI KUPAATA SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAKULIMA WA ZAO HILO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitembelea maghala ya kuhifadhia korosho wilayani Tandahimba, Mtwara wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi na kupkea kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
 Kinana akisaidia kumtwisha gunia la korosho mmoja wa wapagazi wa maghala ya kuhifadhia korosho, wilayani Tandahimba leo.
 Kinana akikagua mradi wa maji wa Mkupete katika Kata ya Mahuta.
 Kinana akishiriki ujenzi wa jengo la Ofisi ya CCM Kata ya Mdimba, wilayani Tandahimba
 WANANCHI wakisikiliza kwa makini wakati Kinana akihutubia katika Kata ya Mahuta, wilayani Tandahimba
 Kinana akitembelea baadhi ya nyumba 100 zilizoezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa katika Kijiji cha Nanyanda, wilayani Tandahimba
Kinana akiwafariji baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Nanyanda ambao wameathirika baada ya nyumba zao kuezuliwa na upepo wa mvua
 Kinana akiendelea kukagua nyumba hizo zilizoezuliwa
 Kinana akipandisha bendera katika Shina la CCM la wakereketwa mjini Tandahimba leo
 Kwaya ikitumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara Mjini Tandahimba
Aliyekuwa Katibu wa Chadema Wilaya ya Tandahimba, Jaffari Hassan ambaye amehamia CCM,  akielezea sababu zilizosababisha ahamie chama hicho wakati wa mkutano wa hadhara, mjini Tandahimba.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Cmkutano huo wa hadhara. Hivi sasa ni Mkobo ni Green Gu
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Tandahimba ambapo alimtaka Katibu Mkuu wa CUF, Seif Shariff Hamad aache kuwahadaa wananchi kwamba wasiipigie kura Katiba inayopendekezwa akidai ni ya CCM na kwamba akitaka kuwa mkweli aachie ngazi nafasi ya Umakamu wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya CCM inayoongozwa na CCM
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano huo wa hadhara, ambapo ameahidi kukutana wadau na viongozi wa mikoa ya inayolima korosho nchini, ili wajadili kero mbalimbali za wakulima wa zao hilo na kuzipatia ufumbuzi wa kudumu
Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, akielezea utekelezji wa miradi mbalimbali jimboni humo wakati wa mkutano huo wa hadhara.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.