MKUTANO MKUU WA NNE WA WADAU WA PSPF WAFANA DODOMA

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akionyesha mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi miklioni 10, baada ya kukabidhiwa na Mkuerugenzi wa Masoko na maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta, (TPB), Deo Kwiyuka, mjini Dodoma mwishoni mwa wiki. Fedha hizo ni ufadhili wa benki kwenye mchaparo ulioandaliwa na PSPF, kwa wanachama na wadau wa PSPF waliohudhuria mkutano mkuu wan ne wa Mfuko huo mjini humo.
Msanii wa kundi la Mjomba Band, Mrisho Mpoto, (Katikati), na wenzake, wakitoa burudani wakati wa hafla ya mchaparo ulioandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwa wanachama na wadau wa Mfuko huo waliohudhuria mkutano mkuu wa nne wa PSPF uliofabnyika mjini Dodoma na kumalizika juzi



 Mdau wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Selemani Mvunye, akichangia wakati wa mjadala wa ujasiriamali uliowasilishwa na mtoa mada mwishoni mwa mkutano mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa Mfuko huo mjini Dodoma
 Mwenyekiti wa bodi ya usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini, (SSRA), Ally Muhimbi  akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, mwishoni mwa mkutano mkuu wan ne wa wanachama na wadau wa Mfuko huo mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.
 Mkurugenzi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), akipiokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta Tanzania, (TPB), kwenye hafla ya mchaparo iliyoandaliwa maalum kwa wajumbe na wadau wa mkutano mkuu wa nne wa PSPF mjini Dodoma juzi. Fedha hizo zlikuwa ni ufadhili wa hafla hiyo.

Afisa Matekelezoi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Prisca Ngowi, (katikati), akiteta jambo na wazee nhawa wastaafu na wanachama wa Mfuko huo, Emmanuel Ilani, maarufu kama "Kindani", (kushoto) na Simon Lemwayi, wakayi wa hafla ya mchaparo iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa wanachama na wadau walioshiriki mkutano mkuu wa nne wa PSPF mjini Dodoma juzi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.