VURUGU ZA ILULA;. MMOJA AFA, MAGARI MATANO YA POLISI YACHOMWA MOTO, BASI LA NYAGAWA LAVUNJWA MADIRISHA

 Picha mbalimbali zikionesha vurugu zilizotokea wakati wananchi wenye hasira wakipambana na polisi mjini Ilula, Wilaya ya Kilolo, Iringa leo, ambapo inadaiwa mama mmoja alifariki dunia kwa kupigwa mtama na polisi wakati yeye na wafanyabiashara wenzie wa pombe ya kienyeji walipokuwa wakitimua mbio katika msako ulioendeshwa na jeshi hilo kwenye vilabu vya pombe vinavyofunguliwa kabla ya muda uliopangwa.(PICHA ZOTE NA KWA HISANI YA FRANCIS GODWIN BLOG)
Basi la Nyagwa likiw2a limevunjwa madirisha
Maofisa wa Polisi wakiwa katika Kituo cha Polisi cha Ilula ambapo magari yamechomwa moto
Mwananchi akionesha ganda la bomu
Gari likiwa limebinuliwa
Moja ya magari ya polisi likiwa limechomwa moto
Polisi wakiwa katika harakati za kulinda doria

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA