MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 100 KWA SACCOS YA WALIMU WILAYANI RUANGWA MKOANI LINDI


Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Kanda ya Mashariki, Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Nicholous Kombe,  mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi millioni 100 ikiwa ni mkopo uliotolewa na mfuko huo kwa wanachama wa SACCOS ya waalimu wilayani Ruangwa..Hafla hiyo ilifanyika Wiyani Ruangwa hivi karibuni.

Wanachama wa  Walimu Saccos wa Wilaya  ya Ruangwa mkoani Lindi wakifurahia   mkopo wenye thamani ya shilingi Milioni 100 uliotolewa na Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwa wanachama wa Saccos hiyo. Anaeshuhudia wa pili kulia ni Meneja wa LAPF,  Kanda ya Mashariki, Yessaya Mwakifulefule. Hafla hiyo ya makabidhiano ilifanyika Wilayani Ruangwa hivi karibuni.  
(Imeandaliwa na mtandao wa http://www.habarizajamii.com/)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA