Waziri wa Fedha Zanzibar Akiwasili Viwanja vya Baraza Chukwani.



     Waziri wa Fedha akiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi akishuka katika gari yake.

Waziri wa Fedha akiinua Begi lenye Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati akiingia katika ukumbi wa mkutano kuwasilisha Hutuba ya Bajeti leo jioni katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Chukwani.
Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akishindikizwa na Askari wa Baraza kuingia katika ukumbi wa Mkutano kwa ajili ya kusoma Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo jioni.
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee akisoma Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Kikao cha Bajeti kwa kimeaza leo kwa kusomwa Bajeti ya Mwaka 2015-2016.
CHANZO : ZANZNEWS

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA