JEZI MPYA YA TAIFA STARS HII HAPA



Hizo ndizo jezi mpya za timu ya taifa zenye rangi ya blue na nyeupe. Rangi ya blue itakuwa jezi ya nyumbani huku nyeupe ikitumika ugenini uzinduzi umefanyika katika ukumbi wa JB Belmonte, katikati ya Jiji la Dar es Salaam leo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA